2 Chronicles 20:2
2 aWatu fulani wakaja wakamwambia Yehoshafati, “Jeshi kubwa linakuja dhidi yako kutoka Edomu tokea ng’ambo ile nyingine ya Bahari. ▼▼ Yaani Bahari ya Chumvi.
Tayari liko Hasason-Tamari” (yaani En-Gedi).
Copyright information for
SwhKC